Natafuta Home theatre ya Bose.

Natafuta Home theatre ya Bose.

Tafuta hii mzee hutojutia
SC-XH333GS-Product_ImageGlobal-1_mi_en.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
NILIINGIA MLIMANI CITY NIKAKUTA KUNA home theater NYINGI KILA NIKISIKILIZA ZOTE HAKUNA BASE NZURI YAANI MIZIKI INASIKA KAMA NGOMA NDINDINDINDI TOFAUTI NA home theater ZA USA
 
Nenda pale panasonic mliman city wakusikilizie hii xh333. Shida weng huwa tunakimbilia sony ambazo ndo zipo nyingi halaf kwenye high na mid freq hazipo vizur kama panasonic xh333
NILIINGIA MLIMANI CITY NIKAKUTA KUNA home theater NYINGI KILA NIKISIKILIZA ZOTE HAKUNA BASE NZURI YAANI MIZIKI INASIKA KAMA NGOMA NDINDINDINDI TOFAUTI NA home theater ZA USA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah! Loki hii N9200 niliona inauzwa somewhere kwa 2.2 millions ila nayo baada ya kuangalia ile woofer yake pamoja na quality ya box ya woofer nikawa nina mashaka nayo.Niliona iko cheap
Sony nzur ni ile ya n9200 ambayo huku wanauza 2m plus ile nayenyew ndo inachuja vizur. Ila zingine chenga tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom