Nairobi inapatikana kwa laki sita za kitanzaniaAh kudadek niliangalia bei ya kuagiza online ndio mulemule ngoja tukusanye maokoto lazima nipate hii![]()
$210 official resellerAh kudadek niliangalia bei ya kuagiza online ndio mulemule ngoja tukusanye maokoto lazima nipate hii 😬😬
Ngoja nijitafute nifanye means ya kuagiza tu hata$210 official reseller
![]()
Pandora Box - GsmServer
Pandora Box. We sell software/hardware solutions, spare parts and tools for mobile phone servicing.gsmserver.com
Ukitumia kampuni za Aircargo ni kama $12 extra toka hio bei kuja Tz
Inafanya kazi Gani tena
Mi ni mvivu wa ku type unaweza fatilia tu mwenyewe online.Inakazi gani hii?
Choko ni wewe mwenyee


bongo Raha sana mtu katypiwa kizungu anapanickNimecheka sana, jamaa alikuw anataka aambiwe simple kifaa kina kaz gan kwa kiswahili, mwamba ameenda kucopy google akapaste, hahahahahaabongo Raha sana mtu katypiwa kizungu anapanick
Ume-copy uka-pasteJamaa ni mshari tu haiwezekani