Natafuta herbicides spesho Kwa ajili ya pamba

Natafuta herbicides spesho Kwa ajili ya pamba

bigmukolo

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
602
Reaction score
2,241
Kama kichwa kinavojieleza naulizia kwenu wadau kama kuna MTU anafahamu Herbicides spesho Kwa ajili ya kuua nyasi Na magugu kwenye pamba anisaidie nimechoka kupalilia Kwa jembe LA mkono...nawasilisha
 
Back
Top Bottom