Natafuta heater ya kukausha mazao ya bahari

Natafuta heater ya kukausha mazao ya bahari

Joined
Oct 27, 2017
Posts
91
Reaction score
94
Habari wadau.

Natafuta heater ya kukausha Mazao ya bahari ambayo inaweza ongeza joto kutoka normal room temperature mpaka 150 degree centigrade au zaidi kwa muda was angalau dak 15.

Ukubwa wa chumba ni square za mraba 16ft square na urefu 8ft.

Kama unayo naomba tuwasiliane.
 
Natafuta heater ya kukausha Mazao ya samaki kwa kupasha chumba joto...iwe na uwezo wa kufikisha 160 degree centigrade ndani ya dak 15 kwa chumba chenye square za mraba 16ft na urefu wa 7ft. Alie nayo au anaeifaham anijulishe.
 
Back
Top Bottom