Natafuta gymDodoma mjini

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
2,073
2,024
Umuofia kwenu lediz&gentlomen....
Wakuu naulizia wapi ntapata gym kwa hapa Dodoma mjini?!naona kitambi kinaninyemelea wakuu,msaada tafadhali!
 
Ilikuepo gym pale bungeni. Ila ikafungwa nasikia something like mmiliki alishindwa kulipa kodi. Kuna gym Dodoma hotel ila hakuna trainer, kuna vifaa tuu. Pia jirani na bunge kuna gym inaitwa Home Fitness, upande karibu na parking. Imefunguliwa sio muda mrefu sana. That means, hawana vifaa vya kutosha kivilee, wana class ya aerobics na vifa vingine vichache.
 
Back
Top Bottom