Natafuta girl friend wa Kingoni

Dit000

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
656
856
Wasifu wangu
1) na miaka 25
2) elimu yangu diploma(engneering)
3)sijaoa
4)mpole
5)kabila mhaya
6)Urefu 1.8M
7)Dini, mkristo

Wasifu wa girl ninayemtaka
1)umli awe na 24 au chini ya hapo
2)elimu. ajue kusoma na kuandika
3)asiwe mfupi,
4)kabila, mngoni(songea)
5)asiwe ameolewa
6)rangi: maji ya kunde au mweupe
7)Urefu asiwe chini ya 1.4M
8)dini: awe mkrsto.
 
Panda Basi la Super Feo/Selous/Tavavil/New Force ukifika Songea mjini zunguka mitaa ya Majengo,Cd farm,Manzese,Msamala,Bomba mbili,Matarawe,Ruhuwiko ukamtafute huyo mwanamke umtakaye.

Ukikosa ingia mpaka Namabengo,Mpitimbi,Mlilayoyo,Peramiho,Hanga na Matili.

Bambo pambana,kweli utawaweza wadala(wanawake) wa kingoni.
 
sawa mkuu nimekuelewa
 
nimecheka sana lol. Wee tuache bhana wangoni hii fursa ni yetu khaah.
 
Apu we tayar ugegiwi au bado uvili uvili Sana

Karibu kuperamihu ulyai masuku na madonga

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nene nigegiwi lepa, ila nina mgosi nivi naku,

Hahahah mbona kwenuko nihumi lelo naha, nakavili pala Pa misheni hospital, nakahuma na kuhamba hadi ku maposeni, nizungwiki sana lelo kwenuko, masuku na madonga nalile juzi ku mpitimbi,

Hinu nivi kunyumba, karibu hapa Pa msamala mlongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom