ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,095
- 2,291
Kweli.Raum old au new model hata spacio anapata, hajasema mpya he meant used
Kuna watu humu kazi yao ni kukatisha wengine tamaa.
Hata ukiwa na mil 5 sio hela ndogo ya kumwambia mtu hapati gari
Kweli.Raum old au new model hata spacio anapata, hajasema mpya he meant used
Utakuta ukienda anapokaa utakuta kapaki li avon au phoenix na geto lake la udongo,ila huku jf anadharau watu wenye m6!!!!!Kweli.
Kuna watu humu kazi yao ni kukatisha wengine tamaa.
Hata ukiwa na mil 5 sio hela ndogo ya kumwambia mtu hapati gari
Aah mtajuana wenyewe.sijui mimiUna uhakika?
Aah OK poapoa kiongozi.Raum old au new model hata spacio anapata, hajasema mpya he meant used
HongeraSikuweza kukatishwa tamaa na maneno ya kijiweni na mwisho wa siku nimepata gari niliyokua naitaka for just 6.3 million ikiwa imetembea km 110,000. Unfortunately sina picha zake for now, ningewarushia muione.
Hebu weka picha na features zake na kama vipi tuonane inboxninayo premio new model cc 1750 bei ni m8
3m,ya 96,mileage 200K,inadaiwa motor vehicle leseni plus insurance,ina hali nzuri,bei 3m
Wapi nije kuiona? 06899134013m,ya 96,mileage 200K,inadaiwa motor vehicle leseni plus insurance,ina hali nzuri,bei 3m
Piga picha za ubavuni. Naona ni milango 3 niko sawa?3m,ya 96,mileage 200K,inadaiwa motor vehicle leseni plus insurance,ina hali nzuri,bei 3m
Milango mitatuPiga picha za ubavuni. Naona ni milango 3 niko sawa?
4.5mln...full vibaliWapi nije kuiona? 0689913401