Dereva wa mtandaoni Uber/ Bolt natafuta gari ya mkataba au hesabu

TURTEKING

Senior Member
Nov 4, 2020
117
190
Mimi ni dereva wa mtandaoni - Uber/Bolt/InDrive na ping - natafuta gari ya mkataba au hesabu.

Akaunti zote zipo active.

uzoefu wa kutosha/uwaminifu mkubwa.

Gari (IST/Raum/ )zitafaa zaidi sio lazima inaweza ikawa gari yoyote.

Napatikana Dar es salaam/TEGETA.

Mawasiliano 0656539177.

Asanteni
 
Mimi ni dereva wa uber_bolt_ping na indrive natafuta gari ya mkataba au hesabu
napatikana TEGETA kwa ndevu
mawasiliano 0656539177 au _0783231177
asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom