Natafuta Gari ya kununua (DEAL DONE)

Natafuta Gari ya kununua (DEAL DONE)

Status
Not open for further replies.
Wadau natafuta Gari ya kununua iliyo kwenye hali ya kuridhisha iwe Spacio, Altezza, Mark II Grande, Verossa, IST, Raum etc.
Bajeti yangu ni milioni 6, napatikana DSM, Morogoro na Dodoma.
Nawakaribisha PM tuongee biashara.
hapo ni alteza ist na raum
 
U
Lete 6m hiyo upate spacio tamu
Kuna rav4 ya 7m
Kuna vitz ya 6.5m
Kuna vitz ya 6m
Kuna wish ya 5m kamili.
Kama umeridhika tuingie pm.
Unaweza kuweka picha ya hiyo wish mkuu
 
Wakuu nashukuru Mungu leo nimefanikiwa kupata gari. Nashukuru kwa mawazo yenu
 
Wadau natafuta Gari ya kununua iliyo kwenye hali ya kuridhisha iwe Spacio, Altezza, Mark II Grande, Verossa, IST, Raum etc.
Bajeti yangu ni milioni 6, napatikana DSM, Morogoro na Dodoma.
Nawakaribisha PM tuongee biashara.
INGIA HAPA:.....
1. Nataka Gari | Buy Used Cars, Buy New Cars, Sell a Car, Find a Car Dealer and Dealerships in Tanzania
2.Nataka Gari | Buy Used Cars, Buy New Cars, Sell a Car, Find a Car Dealer and Dealerships in Tanzania
3.Nataka Gari | Buy Used Cars, Buy New Cars, Sell a Car, Find a Car Dealer and Dealerships in Tanzania

USHINDE TU MWENYEWE..
 
Ngoja nisabuskraibu apa maana nna uhitaji huo pia
 
image.jpg
image.jpg
Kama uko serious Chombo hicho 6m kamili...
Wadau natafuta Gari ya kununua iliyo kwenye hali ya kuridhisha iwe Spacio, Altezza, Mark II Grande, Verossa, IST, Raum etc.
Bajeti yangu ni milioni 6, napatikana DSM, Morogoro na Dodoma.
Nawakaribisha PM tuongee biashara.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom