Natafuta Gari ya kununua (DEAL DONE)

Natafuta Gari ya kununua (DEAL DONE)

Status
Not open for further replies.
Wadau natafuta Gari ya kununua iliyo kwenye hali ya kuridhisha iwe Spacio, Altezza, Mark II Grande, Verossa, IST, Raum etc.
Bajeti yangu ni milioni 6, napatikana DSM, Morogoro na Dodoma.
Nawakaribisha PM tuongee biashara.
3e97c720407794172c10f9c58f434c71.jpg
1da4a68d7fc7d1f4f08faa77d0030aff.jpg

Ninayo Altezza number c mkuu bei 8
call : 0654 646 092
 
Wadau natafuta Gari ya kununua iliyo kwenye hali ya kuridhisha iwe Spacio, Altezza, Mark II Grande, Verossa, IST, Raum etc.
Bajeti yangu ni milioni 6, napatikana DSM, Morogoro na Dodoma.
Nawakaribisha PM tuongee biashara.
Ninayo Altezza number c
Bei - 8 mil.
Call / App 0654646092
Location - Dar es salaam.
 
Wadau natafuta Gari ya kununua iliyo kwenye hali ya kuridhisha iwe Spacio, Altezza, Mark II Grande, Verossa, IST, Raum etc.
Bajeti yangu ni milioni 6, napatikana DSM, Morogoro na Dodoma.
Nawakaribisha PM tuongee biashara.
ongeza laki 5 nikupe mark2 110 namba c
 
Wadau natafuta Gari ya kununua iliyo kwenye hali ya kuridhisha iwe Spacio, Altezza, Mark II Grande, Verossa, IST, Raum etc.
Bajeti yangu ni milioni 6, napatikana DSM, Morogoro na Dodoma.
Nawakaribisha PM tuongee biashara.
namba hiyo hapo 0659920585
 
Wadau natafuta Gari ya kununua iliyo kwenye hali ya kuridhisha iwe Spacio, Altezza, Mark II Grande, Verossa, IST, Raum etc.
Bajeti yangu ni milioni 6, napatikana DSM, Morogoro na Dodoma.
Nawakaribisha PM tuongee biashara.
Ongeza kidogo nikupe spacio new modern iko njema popote pale hata kama ni Kampala au DRC inafika pasipo shida 0717285186 nione
 
Mimi ningekupa hii premio kwa bei chini ya offer yako . gari bomba sema nina shida ya pesa
IMG_20170131_135609[1].jpg
 
Acha dharau kijana,ndo ninyi hata baiskeli hamna ila humu mnajifanya mnadrive m6 ni pesa ya kubeza kwel??
Sina dharau lakini hakuna gari ya milioni 6 kwa aina anayoitaka yeye. Hugo ndo ukweli
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom