Natafuta Gari ya kununua (DEAL DONE)

Status
Not open for further replies.

Saplaiz

JF-Expert Member
Mar 26, 2014
283
287
Wadau natafuta Gari ya kununua iliyo kwenye hali ya kuridhisha iwe Spacio, Altezza, Mark II Grande, Verossa, IST, Raum etc.
Bajeti yangu ni milioni 6, napatikana DSM, Morogoro na Dodoma.
Nawakaribisha PM tuongee biashara.
 
mkuu kwa bajet hyo ,,n usawa wa sasa hata ungetaka prado ungepata wachia ist
 
Mil 13 ndio bei ya ist ambayo unaitoa kwa agent haijatumika Tanzania bado au haijazunguka popote Tanzania
 
Ist ni gari zimekataa kushuka bei toka zimeingia nchini bei imesimama 13 m 12 m haijashuka zaidi ya hapo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom