Natafuta Gari ya kununua (DEAL DONE)

Natafuta Gari ya kununua (DEAL DONE)

Status
Not open for further replies.

Saplaiz

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
283
Reaction score
288
Wadau natafuta Gari ya kununua iliyo kwenye hali ya kuridhisha iwe Spacio, Altezza, Mark II Grande, Verossa, IST, Raum etc.
Bajeti yangu ni milioni 6, napatikana DSM, Morogoro na Dodoma.
Nawakaribisha PM tuongee biashara.
 
Daaah Mark X mnyama huitaki,,,,,
 
we ulinunua kwa mtu au ilikua mpya?,,umetumia mda gan?,kama umenunua kwa mtu alinunua mwaka gan....and ofcourse,how much
Nilinunua from Japan...black car .. nmetumia kwa mwaka tu
 
mkuu kwa bajet hyo ,,n usawa wa sasa hata ungetaka prado ungepata wachia ist
 
Mimi nina ist ungekuwa na 9 m ningekuuzia bei uliyotaja waweza kupata labda iliyochoka sana
 
Mil 13 ndio bei ya ist ambayo unaitoa kwa agent haijatumika Tanzania bado au haijazunguka popote Tanzania
 
Ist ni gari zimekataa kushuka bei toka zimeingia nchini bei imesimama 13 m 12 m haijashuka zaidi ya hapo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom