kwi kwi kwi! leo zanz umenichekesha ila n kweli watu walinibeza sana na mpaka muda huu bado wananibeza ila huwa nikitangaza kama hv huwa zinakuja nyingi sana juzi nilipotangaza nilipata corolla kwa M 1.8 im injini safi kasoro body tu ilikuwa mbovu nimepeleka kwa mafundi wa bodi nikatumia 480,000 tu baada ya hapo gar kama mpyaaa! nikaiuza M 3.8 faida yangu ikawa 1,520,000 je hapo sijpata? wakunicheka na wakunibeza nyie endeleen tu! teh teh teh!Hahaha,Frank nakuaminia.
Acha watu wakubeze lakini kwa sasa nakutolea Salute mkuu.
Maana juzi ulipotaka la 2m watu walitukana eee kisha watu kibao wakaja na gari wanauza kwa bei hiyo mpaka nyingine ukazipotezea.
Sasa hii hapa kali.
Ngoja nimpigie huyu
View attachment 185403
Haya hayaa, majuzi nilikuwa natafuta gar la milion 2 nikapata. leo nimerudi tena natafuta gari la milion 1.5 liwe automatic, tafadhali ukiwa nayo weka namba yako ya simu humu halaf nitakupigia!
mkuu mi ninalo ili halina engine wala gea box , na matairi ya mbele waliiba , kama vp ni pm tufanye biashara
tembea uone sio unaropokagood strategy.baloon za 6 ilochokachoka au mark 2 gr au grande ndo bei zake
umeonaeeAisee wew ni shidaaaa
umeonaee
kelele weweYaaani labla toyo utapata
kelele wewe
we cute b nahic umevurugwa! trekta m mkulima? embu shika adabu yakoAta trecta pia ni gari vip unatakaaa