Natafuta Gari la milioni 1.5

Frank jb

JF-Expert Member
Jun 3, 2014
418
120
Haya hayaa, majuzi nilikuwa natafuta gar la milion 2 nikapata. leo nimerudi tena natafuta gari la milion 1.5 liwe automatic, tafadhali ukiwa nayo weka namba yako ya simu humu halaf nitakupigia!
 
Kabla hatujakujibu tafadhali tuelezee kwa ufasaha tafsiri yako juu ya neno ''gari''
 
mkuu mi ninalo ili halina engine wala gea box , na matairi ya mbele waliiba , kama vp ni pm tufanye biashara
 
Hahaha,Frank nakuaminia.
Acha watu wakubeze lakini kwa sasa nakutolea Salute mkuu.
Maana juzi ulipotaka la 2m watu walitukana eee kisha watu kibao wakaja na gari wanauza kwa bei hiyo mpaka nyingine ukazipotezea.

Sasa hii hapa kali.
Ngoja nimpigie huyu
g.jpg
 
Ninayo hiace ila inamilango ya nyumba na mabenchi ndani.Kwasasa nafugia mabata.Kama unahitaji tuwasiliane.Ntakupa na bata kama bonas ok?
 
Hahaha,Frank nakuaminia.
Acha watu wakubeze lakini kwa sasa nakutolea Salute mkuu.
Maana juzi ulipotaka la 2m watu walitukana eee kisha watu kibao wakaja na gari wanauza kwa bei hiyo mpaka nyingine ukazipotezea.

Sasa hii hapa kali.
Ngoja nimpigie huyu
View attachment 185403
kwi kwi kwi! leo zanz umenichekesha ila n kweli watu walinibeza sana na mpaka muda huu bado wananibeza ila huwa nikitangaza kama hv huwa zinakuja nyingi sana juzi nilipotangaza nilipata corolla kwa M 1.8 im injini safi kasoro body tu ilikuwa mbovu nimepeleka kwa mafundi wa bodi nikatumia 480,000 tu baada ya hapo gar kama mpyaaa! nikaiuza M 3.8 faida yangu ikawa 1,520,000 je hapo sijpata? wakunicheka na wakunibeza nyie endeleen tu! teh teh teh!
 
Mkuu nimekuambia nakuaminia,maana mwanzo niliona unazingua mara nikaona wauza teleee.Nikasema duhh kweli JF noma.
We kaza watakuja tu.
Hii Style yako ndio inanifanya nifanye mpango wa kununua Dungu kwa style hiii.Kisha nairejesha kwenye Form.
Maana kwenye gari za namna hii unaweza kukuta body ipo safi engine matatizo na nyingine engine safi body matatizo,ila vyote vinatengenezeka.
Kila siku ajali hizi na spear zinaongezeka pia
 
Haya hayaa, majuzi nilikuwa natafuta gar la milion 2 nikapata. leo nimerudi tena natafuta gari la milion 1.5 liwe automatic, tafadhali ukiwa nayo weka namba yako ya simu humu halaf nitakupigia!

Aisee wew ni shidaaaa
 
Back
Top Bottom