Natafuta gari (hurrier au voxy)

Natafuta gari (hurrier au voxy)

C360_2018-01-06-07-12-11-203.jpg
C360_2018-01-06-07-11-41-667.jpg
C360_2018-01-06-07-10-54-920.jpg
 
Nina harrier namba D na suzuki landy inafanana na noah namba D zote kama mpya bei 10m
 
Wakuu habari za humu ndani nahitaji kununua gari Hurrier model ya zamani. kidogo ikiwa na matunzo bora.

1.Iwe na utumiaji mzuri wa mafuta.
2. Isiwe imewahi funguliwa injini.
3. Iwe na rangi nyeusi.
4. Ikiwa mmiliki na mtumiaji ni mwanamke naipa kipaumbele zaidi.
5. Nipo Dar malipo ni papo kwa papo.
6. Itakuwa vema endapo nitaipata kabla ya hii January kumalizika.
kwa aliye nayo tafadhali PM.

NB; Huwa sifurahishwi na mikono ya madalali.

Ahsanteni.
2b57bf2dfb60f88c2d17087c7ebe07f1.jpg
9f7fc8b7b0867ff448d4e008305a08fd.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom