Victor Nicho
Member
- Mar 27, 2014
- 29
- 1
Jaman naomba msaada kuna game moja HIV liko kama jamaa anakwenda kumkomboa binti ambaye alikuwa ametekwa kwa yoyote ambaye anarifaham jina aniambie ili niweze kudownload ..au kama kuna linguine nzuri anaimbie