Mwaka huu nimeamua niishi kwa amani bila kumkwaza mtu yeyote. Mungu akubariki mkuu.eti nataka fundi anaye jielewa
mpu*zi kweli wewe peleka china we unaangalia kujielewa kwa mtu kwaajili tyu ya kutengeneza tv yako
ina kipi cha ziada hiyo tv yako mpaka impate mtu perfect
Asante kwa ushauri. Nilifikiria hilo ila nikaona sio vibaya nikijaribu.kanunue nyingine tu. mafundi wa bongo mizengwe tu.
Asante mkuu, kwa kulijua hilo nimeomba fundi anaejielewa ila kuna muungwana hilo limemkera hadi kunitukana.Ya kwangu niliipeleka kwa fundi ina miezi nane huko na haijawahi kurudi. Since then vitu vyangu vikiharibika huwa navitengeneza mwenyewe.
Asante kwa ushauri. Nilifikiria hilo ila nikaona sio vibaya nikijaribu.
Kwa kulijua hili ndio maana nikasema fundi anaejielewa ila kuna muungwana hilo limemkera mpaka anatoa mitusi.
Mwaka huu nimeamua niishi kwa amani bila kumkwaza mtu yeyote. Mungu akubariki mkuu.
Wanasema vioo vipo kariakoo, ila nimefikiria nimeona ninunue tu ingine kwanza halafu hii ndio nitaamua baadae niifanyie nini.mie ya kwangu imegonga mahala kwenye purukushani screen imeweka crack haionyeshi nimedata kwakweli. yaani hapa nawasha nakutana na mistari nimechoka mwili na akili
hivi naweza pata kioo nikabadilishiwa yaani
Mkuu acha utani, unajua jana nimeangalia mpira nusu uwanja!
Usinunue semegi,tumia hiyo hiyo, si uliuelewa mpira lakini?Mkuu sio mambo ya kuchekana haya. January hii kuanza na mahesabu ya kununua TV si mchezo,usawa mbovu.