Naomba hiyo kazi bossNina plot yangu nataka nitoe kitu kikali Sasa ninaomba humu jamii forum kama Kuna fundi mzuri ani pm kazi yake iwe imenyooka
KwannMm fundi mzur lakin kaz za wanajf sitaki
Michoro, kwenda kutangaza kwa mademu mara kwa Lamomy kuniharibia na mm toto hili nataka kulioa kabisaKwann
Ya urithi ile kama unataka kutupiwa majini na wazaramo ni wew tu ila nina uhakika utaamka mzima ila utaona mambo hayaendi na kuanza kuuza vitu vya ndani kwa nusu beiNimekwambia unipe plot yenu ya vikunai iwe ndo mahari yangu unasitasita..!! 😹😹
Una Christmas moja umebakiza utaniita shemeji, shauri yako..!! 😹
Mi mkinga naanzaje kuogopa majini?Ya urithi ile kama unataka kutupiwa majini na wazaramo ni wew tu ila nina uhakika utaamka mzima ila utaona mambo hayaendi na kuanza kuuza vitu vya ndani kwa nusu bei
Kazi kazi bidada kila nusu saa mm napelekaga moto haijalishi kuna mtu kala au hajala mtuMi mkinga naanzaje kuogopa majini?
Wewe niibie hati hiyo ujilie vitu vya kikinga..!! 🤣😹😹😹🏃♀️➡️🏃♀️➡️🏃♀️➡️
Wewe nikabidhi hati hata ukitaka unile mimi bila kugusa msosi ni sawa..!! 😹😹Kazi kazi bidada kila nusu saa mm napelekaga moto haijalishi kuna mtu kala au hajala mtu
piga 0714693107Nina plot yangu nataka nitoe kitu kikali Sasa ninaomba humu kama Kuna fundi mzuri.