kagombe
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 3,624
- 1,827
Unazo ngapi maana hayo madude firmware zake uki pakua zinakua zako ata mika 10.Ziko ngapi niangalie kama zitalipaHabari zenu wakuu.
naomba kufahamishwa ni wapi ndani ya jiji la dar es salaam nitapata fundi wa uhakika anaeweza kuflash tablet za android hasa chinese tablets.
Asanteni.