Fedora JF-Expert Member Sep 25, 2013 238 172 Mar 16, 2017 #1 Habari zenu wakuu. naomba kufahamishwa ni wapi ndani ya jiji la dar es salaam nitapata fundi wa uhakika anaeweza kuflash tablet za android hasa chinese tablets. Asanteni.
Habari zenu wakuu. naomba kufahamishwa ni wapi ndani ya jiji la dar es salaam nitapata fundi wa uhakika anaeweza kuflash tablet za android hasa chinese tablets. Asanteni.