Hilo halina uhusiano na ninachokwambia, ni either ujifunze au uendelee kufikiri unavyofikiri!Kwani
Yuda iskariote alikuwa ameokoka? Au yeye ilikuwaje maana alikuwa na YESU ila mwisho ukawa mbaya mkuu
Sasa ukija huku, ukanywa balimi mbili na kuosha macho kwa hawa watoto wazuri, utakumbuka mambo ya kiroho kweli?Nipe location... mkuu maana wenye afya hawahitaji tabibu! ila ambao ni...
OkMkuu tunashare unachoelewa kama kuna mistake umeiona tunaambiana tu kwa upole.
Sawa mkuu, tuyaishi ya dunia kwanza, ya mbinguni tutayaishi tukifika huko.Mkuu "nayaweza mambo yote katika YEYE Anitiaye nguvu"
Mimi ni miongoni mwa watu sahihi kwa hilo kwa swala LOLOTE la kiroho karibuWakuu happy day!
Natafuta friend wa kushare naye experience kuhusu maisha ya kiroho,,, maana wengi wanasema ukiwa unasali kama bado uko youth majukumu ya kiwa mengi hufiki mbali,,, je kuna ukweli katika hili? Maana haya maisha bila kutiana moyo unaweza ukashindwa na majaribu,,, madogo madogo tu ambayo kupitia mtu mwingine unaweza ukapata nguvu na matumaini ya kwendelea mbele!
My age 245 months.
Male
Thanks
Nani aliyekupa habari za mbinguni kwanza? Kuku/ samaki/ng'ombe n.k uliyemla jana, naye yuko mbinguni?Haya niya mda kitambo sana mkuu!
Mpokee YESU tu! kule ni mwendo wa matunda aina 12 in a single tree don't miss!
Sadaka ulete hapa kwanguMkuu nipo hapa,twende kazi,leta hayo mambo ya kiroho ili na mimi niokoke.