Natafuta friend wa kushare mambo ya kiroho

Natafuta friend wa kushare mambo ya kiroho

Sadaka ni hiari ya mtu! halafu unatakiwa ukatowe kwa wahitaji maana YESU anasema "Nalikuwa na njaa hamkunipa chakula"
Nb. Hata church ila kwa moyo wa kupenda!
Hao wahitaji wametengenezwa na nani?
 
Kwahiyo unataka kila mtu afanye unavyofanya wewe? Kila mtu afuate maamuzi yako wewe?
kila mtu akifanya navyofanya mim au afuate maamuzi yang kutakuwa hakuna radha ya maisha kila mtu afanye maamuzi yake na afanye anavyotaka yeye
 
kila mtu akifanya navyofanya mim au afuate maamuzi yang kutakuwa hakuna radha ya maisha kila mtu afanye maamuzi yake na afanye anavyotaka yeye
Sahihi mkuu! kila mtu atavuna alichopanda,,,,,
 
No, nimebatizwa!
Maana kuokoka ni process
Kuokoka ni call, ni neema, Ni Upendeleo, sio wewe unaamua..... !

Zamani nilikua mmoja kati ya Watu waliokua wakiwasema vibaya Walokole, nikiwa kama Mkatoriki.....! Ila Leo ni mmoja wao.
 
Kuokoka ni call, ni neema, Ni Upendeleo, sio wewe unaamua..... !

Zamani nilikua mmoja kati ya Watu waliokua wakiwasema vibaya Walokole, nikiwa kama Mkatoriki.....! Ila Leo ni mmoja wao.
Safi sana mkuu, i hope nitajua mengi kuhusu walokole
 
Wakuu happy day!

Natafuta friend wa kushare naye experience kuhusu maisha ya kiroho,,, maana wengi wanasema ukiwa unasali kama bado uko youth majukumu ya kiwa mengi hufiki mbali,,, je kuna ukweli katika hili? Maana haya maisha bila kutiana moyo unaweza ukashindwa na majaribu,,, madogo madogo tu ambayo kupitia mtu mwingine unaweza ukapata nguvu na matumaini ya kwendelea mbele!

My age 245 months.
Male
Thanks
Umeanza
 
Back
Top Bottom