Karibu....!
Japo Kwa Umri wako na wangu, hatuwezi kuwa marafoki, ila naweza kuwa msaada Kwa habari ya mambo ya Imani...!
Umezungumza ukitumia neno "Kiroho"
Wakristo ama Walokole wengi hutumia neno Kiroho lakini Kwa hakika wanamaanisha Kiimani....!
Wachache uhusika na mambo ya Kiroho hasa, ni Wachache, ila walio wengi Huwa hawako tayari, kujadiri habari za Wokovu, Kurudi Kwa Yesu ama kuacha Dhambi n.k sio mambo ya Kiroho, ni mambo ya Imani ya Kikristo zaidi, ila unapotaka kujadiri mambo ya Kiroho kama Mkristo uliyeokoka, na kama una maanisha kweli mambo ya Kiroho, you need to be the chosen one, are you one of them...!? Or you are just called....!?