Natafuta friend wa kushare mambo ya kiroho

Natafuta friend wa kushare mambo ya kiroho

Wakuu happy day!

Natafuta friend wa kushare naye experience kuhusu maisha ya kiroho,,, maana wengi wanasema ukiwa unasali kama bado uko youth majukumu ya kiwa mengi hufiki mbali,,, je kuna ukweli katika hili? Maana haya maisha bila kutiana moyo unaweza ukashindwa na majaribu,,, madogo madogo tu ambayo kupitia mtu mwingine unaweza ukapata nguvu na matumaini ya kwendelea mbele!

My age 245 months.
Male
Thanks
umri wa ujana unamambo sana usipoimarika kiroho changamoto ndogo tu inakuyumbisha hakuna jipya hapa duniani kila changamoto unayopitia kuna watu waliisolve ni vizuri ukawa na friend wa kukushauri mambo ya kiroho
 
Back
Top Bottom