We need inner engineering...ukipata muda mfuatilie Mystic figure of India (MoI) aitwaye Sadhguru ameelezea sana hii kituAmen! so what is your advice on this matter!
Hakika,Sawa mkuu! But i will be care kuhakikisha siendi against na
THE MOST HIGH ALMIGHTY!
Zaburi 23. 🐒Rafiki umpate pale unapojumuika, huku tumesha pinda, tusha kata matumaini na mambo ya kiroho, tusha kuwa disappointed na wokovu! Saaana utavunjwa moyo.
Nenda kwa mwamposa akakuibie akili Yako itakaa sawaWakuu happy day!
Natafuta friend wa kushare naye experience kuhusu maisha ya kiroho,,, maana wengi wanasema ukiwa unasali kama bado uko youth majukumu ya kiwa mengi hufiki mbali,,, je kuna ukweli katika hili? Maana haya maisha bila kutiana moyo unaweza ukashindwa na majaribu,,, madogo madogo tu ambayo kupitia mtu mwingine unaweza ukapata nguvu na matumaini ya kwendelea mbele!
My age 245 months.
Male
Thanks
Nipo hapa mkuuWakuu happy day!

Amina mkuuBwana
YESU asifiwe!
Atuombee mkuuHongera mkuu... kwanza kwa kuwa Baba mtakatifu91
Unashukuru Robbot mkuu