Natafuta flat screen ya mtumba

Natafuta flat screen ya mtumba

haa mym

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2014
Posts
4,877
Reaction score
4,675
Habarini ndugu kama nilivyojieleza hapo juu nataka flat screen ya mtumba kwa mwenye nayo mi kwa sasa nipo kanda ya ziwa.
 
IPO nchi 37, aina ya Samsung, bei inaanzia laki 7. Inapatikana Dar, unaweza kutumiwa popote
 
Habarini ndugu kama nilivyojieleza hapo juu nataka flat screen ya mtumba kwa mwenye nayo mi kwa sasa nipo kanda ya ziwa.

Me njnyo LG 42inch, Hitachi inch 37, Hitachi 40, Toshiba 24, Hitachi 26 bei ni poa kabisa kwa maelezo zaidi ni PM
 
Back
Top Bottom