Natafuta field!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta field!!!!!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by new generation, Apr 23, 2012.

 1. new generation

  new generation JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 368
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  habarini wanajamvi(great thinkers)?, nikwamba kwama mwezi mmoja na nusu niliweka thread yangu jamvini nikiomba kupata field, ila sikupata respons nzuri juu ya ombi langu , leo najitokeza kwa mara nyingine kuomba field maana muda umeisha, na siku zimekwenda sana!!  Kiufupi ninasoma chuo cha IFM, course ni bachelor of banking and finance, ninaomba kupata field katika bank yoyote, (NB: nilisha wahi kufanya field NBC, igoma branch, Mwanza, so nina expirience kiasi na banking operations)
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kajaribu NMB,huwa hawabanii watu.
   
 3. new generation

  new generation JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 368
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Nashukuru, ila NMB nimeisha peleka tangu zamani ila sijapigiwa simu mpaka sasa. Kwa yeyote anaependa kuwasiliana nami, phone no ni (0719058458)
   
 4. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,314
  Likes Received: 2,974
  Trophy Points: 280
  Mkuu wadau wanakuja nadhani kwakuwa umeweka na namba utasaidiwa. Tuko pamoja pia usikate tamaa mpaka unaingizwa kaburi,hapo unajua maisha ya hapa yamekwisha.
   
 5. new generation

  new generation JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 368
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Nitashukuru sana ndugu yangu!!!!
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  we vipi,yan fild unasubiri mpaka upigiwe simu na wkt we ndo unashida?inabidi uwe unaenda we mwenyewe kuulizia maendeleo yake kama utapata/utakosa mkuu.
   
 7. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Sio anasubiri apigiwe simu...Kama kashapeleka maombi yenye contact zake unataka afanyeje sasa,,Kwenda kwenda kila siku kutasaidia nini kama nafasi hizo za field wameshaandaliwa wengine
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine kuwa persistent kunasaidia! Ni muhimu kuulizia when can I come back to check with u. Nakuahidi, sasa hivi hour wa nmb wala hamkumbuki huyu! Saa zingine unampa mtu field to get him off your tired back!
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Saa zingine unafaa kuitwa kaka mkubwa. Nitakugongea reputation baadae. Be good.
   
Loading...