Natafuta familia ya kunilea ndani ya chitchat

Miss Neddy

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Posts
14,684
Reaction score
8,761
saluuuuuuuuuuuuuuute natumaini kila mmoja yuko okay ndani ya jahazi la chit chat mimi sio mgeni nadhani mlishawahi kusikia machachari yangu ndani ya MMU niwatoe hofu zile ni mbwembwe tu mimi ni kabinti kapoleeeeeee mno

BACK TO THE TOPIC
.
naomba mnikaribishe ndani ya jahazi la chit chat ningependa kuwa mmoja wa wanafamilia humu nasikia kuna familia nyingi humu ikiwemo ya watu8 kama kuna familia inahitaji kuongeza mtoto naomba niwe mtoto wa mwishoooooo maaana napenda mnoooo kudeka

nahitaji pia madada wa hiari na mimi nijidai jukwaaani humu namuoneaje wivu amu akiitwa huku na huko mdogo wangu mdogo wangu hapa HOE naomba usinikwepe ningependa uwe my sis ingawa umenipita only 4months but sio mbaya una busara za hali ya juuuuuu mnooooo I admire you
naomba unipigie debe kwa wengine pia kina gfsonwin,zinduna na wengine wengi majina sijayashika

nahitaji makaka wakunilinda pia si mnajua kaka anavyoweza kuwatoa mbio mabazazi ohooooooooooi bahati mbaya majina nimeyasahau lakini najua mtachangamkia oppoturnity hiii

napenda pea zote za love birds humu mnavyopaaaaaa mawinguni mkitaniana nawa admire mnooooooooo

i dream na mimi nimpate wangu humu wakunichangamsha mhhhjhhhhhhhhh but wote wenye sifa stahiki wako reserved anyway niunganisheni hata mitala (a joke)

natumaini chair person maombi yangu yamekufikia@ Baba V
 
Karibu binti , kokote utakapojiskia , btw itakua more muafaka kwa Mz. watu8 , coz ndiyo mzee mwenye seeds za aina 1 female only !
 
Last edited by a moderator:

hahahahaha sawa ngoja tumsubiri mwenyewe mzeee wa kaya aje atoe maaamuzi magumu
 
Last edited by a moderator:
Unakaribishwa kwenye familia yetu na badiebey tutakulea vizuri.

Karibu
 
Last edited by a moderator:
Haya utakuwa mdogo wangu eeh! Haya namkie !!
 
aaaaaa sasa embu chagua uwe mdogo wangu au???
 
saluuuuuuuuuuuuuuute natumaini kila mmoja yuko okay ndani ya jahazi la chit chat mimi sio mgeni nadhani mlishawahi kusikia machachari yangu ndani ya MMU niwatoe hofu zile ni mbwembwe tu mimi ni kabinti kapoleeeeeee mno

BACK TO THE TOPIC
.
naomba mnikaribishe ndani ya jahazi la chit chat ningependa kuwa mmoja wa wanafamilia humu nasikia kuna familia nyingi humu ikiwemo ya watu8 kama kuna familia inahitaji kuongeza mtoto naomba niwe mtoto wa mwishoooooo maaana napenda mnoooo kudeka

nahitaji pia madada wa hiari na mimi nijidai jukwaaani humu namuoneaje wivu amu akiitwa huku na huko mdogo wangu mdogo wangu hapa HOE naomba usinikwepe ningependa uwe my sis ingawa umenipita only 4months but sio mbaya una busara za hali ya juuuuuu mnooooo I admire you
naomba unipigie debe kwa wengine pia kina gfsonwin,zinduna na wengine wengi majina sijayashika

nahitaji makaka wakunilinda pia si mnajua kaka anavyoweza kuwatoa mbio mabazazi ohooooooooooi bahati mbaya majina nimeyasahau lakini najua mtachangamkia oppoturnity hiii

napenda pea zote za love birds humu mnavyopaaaaaa mawinguni mkitaniana nawa admire mnooooooooo

i dream na mimi nimpate wangu humu wakunichangamsha mhhhjhhhhhhhhh but wote wenye sifa stahiki wako reserved anyway niunganisheni hata mitala (a joke)

natumaini chair person maombi yangu yamekufikia@ Baba V

hivi Mwanyasi umeshapata mke??
 
Last edited by a moderator:
Mie ntakua aunt yako na mpenz Tuko atakua mjomba ako sawa eeeh?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom