Mm ninalo ila inabid ucheze la jamhur ya chekiWamarekani draught wanaits checker. Ninalo moja king anaenda hatua mojamoja. Pia humo kuna la kirusi, kiingereza, kibrazil etc. Ila hakuna kama hili tunalocheza bongo. Hilo uliloliona liko kama tunalocheza bongo?
Lete namba nikutumie watsapNaomba maelekezo jinsi ya kulipata na niseti vipi. Natanguliza shukrani.
Poa poa sema kuwa online kwa wakati mmoja ndio changamoto.Heavert
Bado halina style zetu hiziMm ninalo ila inabid ucheze la jamhur ya cheki
Download Checkers by Dalmax App Apk- APKMonkBado halina style zetu hizi
Mkuu sipigwi na wajinga wajinga hawaDownload Checkers by Dalmax App Apk- APKMonk
cheki iyo dalmax, uki install, customize draft lako liwe kama la tz, jamaa akikupiga nyingi uje na utangaze pia
ulete mrejesho aiseeMkuu sipigwi na wajinga wajinga hawa
ulete mrejesho aisee
mkuu vp ulipata?Me natafuta namna ya kupata hilo la Russia na lile linaloendana na move za kibongo kwa ajili ya PC. Sijui naweza pata link?
mkuu vp ulipata?
Ndo unqchezaje hio stail kk nifundishe n mm nikawafunge mtaaniNapenda sana kucheza Samba kwenye draft hufungwi
ukimfunga tena na tenaNnalo lile la kirussia unacheza na mdada mkaliiii ukimfunga anavua nguo, akikufunga anavaa
sasa kwa nini kete za upande wa pili hazionekaniNishafika grand Master level. Na nimeipakua Dk chache zilizopita View attachment 506432