Natafuta dawa ya kumsaidia mpenzi wangu

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Ninae mpenzi wangu, nilitumia kama miaka mitatu mpaka kumpata. Kweli ni mzuri sana.

Nilivyokula mzigo sikuamini kwani ana mashine kubwa sana.Kweli hata kukojoa ni ngumu kwani hakuna joto lolote ninalopata. Yeye nahisi ana enjoy kwani anapigaga kelele za kutosha.

Naomba kama kuna dawa ya kumpatia nifahamishwe ila mimi sijawahi kumwambia hayo mapungufu yake kwani nampenda sana.
 
duh pole naskia kuna mazoezi ya kukaza misuli ya uke,
ngoja wataalamu waje kutuambia...
 
Huenda ana mashine kubwa, au labda wewe una mashine ndogo too much!!...umejaribu kujiangalia?

Kulia kwake si kigezo, maana hata machangu wanalia kinyama, kumbe analia akiwazia utamtoatoaje!
 
wakati unasubiri majibu ya kitaalam, anza kula TiGO pindi yeye akifika kileleni hamishia huko na wewe upate bao lako isije kuwa unatumika bila faida.
 
Huyo ni she/he?
Unapotaka kupiga gemu weka mawazo yako kigemu gemu. Usifikirie mambo mengne.

Kama utakuwa unafanya mchezo huku una stress hata ulambwe unyayo hautahisi kitu.

Utamu wa ngono sio hadi zile kitu mbili zimezane.
 
Ninae mpenzi wangu, nilitumia kama miaka mitatu mpaka kumpata. Kweli ni mzuri sana. Nilivyokula mzigo sikuamini kwani ana mashine kubwa sana.Kweli hata kukojoa ni ngumu kwani hakuna joto lolote ninalopata. Yeye nahisi ana enjoy kwani anapigaga kelele za kutosha. Naomba kama kuna dawa ya kumpatia nifahamishwe ila mimi sijawahi kumwambia hayo mapungufu yake kwani nampenda sana.

Kama mashine inakuzingua mkuu Tumia Tigo. Lakini nahisi wewe unakitu kidogo kama pen halafu unamlaumu mwenzio
 
Makelele hayo ni ya wizi mtu

Mashine yangu sina matatizo nayo najua ni kubwa mno, ila mashine yake ndo kubwa ila haina maji.
 
Na wewe una kipisi cha sigara kama mimi?
Si useme tu kuwa mzee una kipisi
Ninae mpenzi wangu, nilitumia kama miaka mitatu mpaka kumpata. Kweli ni mzuri sana. Nilivyokula mzigo sikuamini kwani ana mashine kubwa sana.Kweli hata kukojoa ni ngumu kwani hakuna joto lolote ninalopata. Yeye nahisi ana enjoy kwani anapigaga kelele za kutosha. Naomba kama kuna dawa ya kumpatia nifahamishwe ila mimi sijawahi kumwambia hayo mapungufu yake kwani nampenda sana.
 
Kama mashine inakuzingua mkuu Tumia Tigo. Lakini nahisi wewe unakitu kidogo kama pen halafu unamlaumu mwenzio

wewe na huyo mwenzio hapo juu acheni kumshauri kaka wa watu vibaya,ametaka ufumbuzi la uke kuwa mkubwa...kama hamna majibu kaeni kimya...na akikuta hio tigo ni kubwa je?
 
Acheni basi utani, nitamlaje tigo mpenzi wangu? we kula wako tigo
 
wewe na huyo mwenzio hapo juu acheni kumshauri kaka wa watu vibaya,ametaka ufumbuzi la uke kuwa mkubwa...kama hamna majibu kaeni kimya...na akikuta hio tigo ni kubwa je?

Mi namshauri tu ili na yeye aendelee kufaidi mapenzi.
 
Nenda MOI kaulize kama wanaweza kumrekebisha "pelvic floor". Wapo wazungu huwa wako hivyo na huwa wanafanyiwa operation ya kupunguza "njia" kwa kurekebisha pelvic floor na vitu vingine wanavyovijua wataalam.

Sina uhakika na wataalam wetu kwa sasa lakini kwa wazungu operation zilianza zaidi ya miaka 50 iliyopita. Inawezekana madaktari wa bongo sasa wanaweza.
 
Kila siku mnaambiwa mjaribu kwanza kabla ya kujikomit tatizo hili lisingekuwepo kila mmoja angepata wa saizi yake.
 
Siyo rahisi kupunguza ukubwa wake, ila unaweza kuimarisha musuli ya pembeni ili iweze kuwa tight wakati uki..... Fuatilia mazoel yanaitwa 'Kegel exercises' kwenye google. Mfano ni wakati mtu anabana mkojo kam vile anabana ******
 
Ninae mpenzi wangu, nilitumia kama miaka mitatu mpaka kumpata. Kweli ni mzuri sana. Nilivyokula mzigo sikuamini kwani ana mashine kubwa sana.Kweli hata kukojoa ni ngumu kwani hakuna joto lolote ninalopata. Yeye nahisi ana enjoy kwani anapigaga kelele za kutosha. Naomba kama kuna dawa ya kumpatia nifahamishwe ila mimi sijawahi kumwambia hayo mapungufu yake kwani nampenda sana.[/QUOTE

jaribu:
1. Atumie sabuni iitwayo KAISIKI kusaidia kuurudisha uke kuelekea "ubikira"
2. Afanye mazoezi ya kegel - aingize kidole na kama kidole kinapwaya basi ajaribu ndizi na abane misuri ya uke bila kutumia misuri ya tumbo au mapaja hadi anau feel ugumu wa hicho kidole au hiyo ndizi na kuachia. arudie mara kadha kwa siku kadhaa. kwa maelezo zaidi aende google na ku type neno kegel atapata details.
3.Alale mlalo wa KIFO CHA MENDE akinyoosha miguu na ukiisha mwingia aibane miguu yake wakati ya kwako ikiwa nje na umeinyoosha na kuibana ya kwake iliyo ndani ya kwako. hutachukua muda kwani kugusana kutakuwa almost 100%
 
Back
Top Bottom