Natafuta dalali anayeuza kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta dalali anayeuza kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Natafuta kazi, May 10, 2012.

 1. N

  Natafuta kazi Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HABARI ZENU WAKUU.

  Jamani wenzangu kutokana na ugumu wa kupatikana kazi na kupigika mtaani nimeamua kuja hapa jamvini. nadhani kila mtu anaelewa jinsi ambavyo vijana wengi wanasota mtaani,nami ni mmoja wao.


  sasa jamani natafuta mtu anayewza kunisaidia nipate kazi,nipo tayari kutoa hata mshahara wote wa mwezi wa kwanza au pesa inayolingana na mshahara kutokana na makubaliano tutakayokuwa tumefikia.

  nawashukuru sana na najua kuna watakaoniona sina akili lakini ni frustration tu za maisha na kuhangaika kwa muda mrefu bila kupata ajira.

  plz just PM me.

  asanteni.
   
 2. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Dah,kumbe tupo wengi wenye kuhangaika na kazi. jamani wenye uwezo wa kutupa contacts tusaidieni.
   
 3. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ukitoa wote utabakiwa na nini? Si bora usifanye kazi.
  Taaluma yako ni nini?
   
 4. N

  Natafuta kazi Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, namaanisha mshahara wa mwezi mmoja. nina degree ya uchumi na lishe.
   
 5. N

  Natafuta kazi Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maisha kitaa yanatisha sana.
   
 6. Barraza

  Barraza JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Ukifanikiwa kumpata na mimi nijulishe
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mmmh KWELI RUSHWA ITADUMU MILELE! KWENYE NCHI HII!
   
 8. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,719
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  endelea kutafuta tu...hatimaye utapata.

  don't give up the hope...aliimba Bob Marley.
   
 9. N

  Natafuta kazi Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usijali mkuu,tupo pamoja.
   
 10. N

  Natafuta kazi Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nii kweli kabisa. mfumo mbovu unatufanya tusiwe na choice.
   
 11. N

  Natafuta kazi Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Al Zagawi,thx sana kwa maneno ya faraja.
   
 12. N

  Natafuta kazi Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenye namba au mahali wanapopatikana msaada plz.
   
 13. King2

  King2 JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Watafute Madalali Erolink, Bizonline, Radar online, shughulika recruitment watakusaidia.
   
 14. Zux de

  Zux de JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Utapat tu mdau ila humu utakutana na baadhi ya maneno lukuki ya wanaojifaoya washaweza ni kukukatisha tamaa.
   
 15. Mbuty

  Mbuty JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Mshahara wa kwanza ni Malimbuko,wa Mungu huo,labda toa wa 2. Omba sana,put ur efforts and enlarge yo network.
   
 16. N

  Natafuta kazi Member

  #16
  May 11, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante mku,hilo halikwepeki si unajua tena binadamu tuna hulka tofauti.
   
 17. N

  Natafuta kazi Member

  #17
  May 11, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbuty,asante kwa ushauri wako mkuu.
   
 18. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,024
  Likes Received: 2,645
  Trophy Points: 280
  Pole sana mdau naelewa vizuri sana machungu ya hiyo kitu,inanikumbusha nilipotoka chuoni ilinigharimu miaka miwili bila ya ajira,yaani huwezi amini mpaka nika-develop highpertension ambayo ilinisumbua karibu miezi 3 na my luck nilipopata kazi ikaniachia ndio ikawa salama yangu,muombe Mungu usikate tamaa,though inahitaji uvumilivu sana and don't feel as if the end of the world has come.
   
 19. N

  Natafuta kazi Member

  #19
  May 18, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu,inaumiza sana kichwa. kazi shida,mtaji hamna.daaah...
   
 20. N

  Natafuta kazi Member

  #20
  May 18, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu,nasubiri msaada wenu tafadhali.
   
Loading...