BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,535
- 10,974
Anahitajika dada wa kazi,awe na vigezo vifuatavyo.
A)Umri kuanzia miaka 18-25
B)Awe na uzoefu wa kazi za ndani, pamoja na kupika.asiwe mtu wa kuanza kufundishwa kazi.
C) Awe anatokea Singida, Manyara ama Mwanza.
D) Awe na mdhamini anaye tambulika in case of anything.
E) Awe muaminifu na mwenye tabia njema.
AINA YA MAJUKUMU
A) kupika, kufua na usafi kiujumla.
B) Wahusika bado hawana mtoto kwa sasa,muda mwingi wanashinda kazini.
MSHAHARA
A) Atalipwa Tsh 60,000 inaweza kuongezeka kulingana na uwajibikaji wake mzuri na wataishi naye kama ndugu.
B) Atagharamiwa matibabu.
Mwenye ndugu ambaye ana vigezo anaweza kunicheki PM.
Makubaliano yakisha fikiwa,huyo binti ataanza kazi mwishon mwa mwezi wa 12 mwaka huu.
Karibun sana.