TAJIRI MSOMI
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 501
- 526
Habari wana JF,mimi ninashida ya costa kunabarabara nimepata na inalipa sana huko mkoani hapa nina budgeti ya kuanzia mil.5 ila mkopo nitalipa kupitia mshahara wangu na budget ya makato ni 500k kwa mwenzi please anaeweza awasiliane nami pitia tavethadeo@yahoo.com