Natafuta chuo cha kilimo tofauti na SUA

Kutafuta chuo cha kilimo ngazi ya degree tofauti na Sua ni sawa na kutafuta meli inayotembea sehemu nyingine mbali na majini!
Inategemea unasima kilimo kwenye nyanja gani
Kuna nyanja ya bihashara
Kuna nyanja ya uchumi
Na nyanja ya sayansi ya mazai na mifugo
 
Kwa level ya degree wewe SUA inakuita kama kweli unapenda kusoma kilimo ingawa UDSM wana course (program) chache za kilimo google College of Agricultural Sciences and Fisheries Technology UDSM. By the way kwa nini unatafuta chuo ambacho ni tofauti na SUA?
 
Back
Top Bottom