Hunyu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,774
- 4,340
Hizo zote ulizotaja kwa level ya degree ipo sua pekee na inaitwa Agriculture Economics and Agribusiness, ni course nzur sana ila kiukwel ni ngumu kiasInategemea unasima kilimo kwenye nyanja gani
Kuna nyanja ya bihashara
Kuna nyanja ya uchumi
Na nyanja ya sayansi ya mazai na mifugo
Umesoma pale mkuu...?Canre pataaamu saaan mkuu
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Vyuo vyote vya MATI mwisho ni Diploma tu mkuuMATI ILONGA
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Karibu muheshimiwaPoa,MUNGU akipenda tutakua pamoja apo.
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Upo sua mkuu??
Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Hata UD ipo ila content tofauti kidogo na inaongeza natural resourcesHizo zote ulizotaja kwa level ya degree ipo sua pekee na inaitwa Agriculture Economics and Agribusiness, ni course nzur sana ila kiukwel ni ngumu kias
HahahahaaaaaKutafuta chuo cha kilimo ngazi ya degree tofauti na Sua ni sawa na kutafuta meli inayotembea sehemu nyingine mbali na majini!
Ile college ya CoAF imeanza mwaka gani wakuu,, Wana mashamba kweli ya kujifunzia wanafunzi na lab za Kilimo..?UDSM wanayo nowdays