edwin george
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 1,218
- 977
Kuna chuo kinaitwa Kilimanjaro agriculture training centre (KATC)
Hicho mwisho ni doploma tu hakuna DegreeKuna chuo kinaitwa Kilimanjaro agriculture training centre (KATC)
YaaaaH... but ukitaka Diploma ya Agriculture KATC kipo poa sanaYeah kweli nimeangalia hakuna degree,
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Swali muhimu sana akijibu tutajua namna ya kumsaidiaUnataka agriculture programme gani
Utakuwa hujaelewa vizuri hoja ya mtoa mada! Yeye kwenye maelezo yake amesema anatafuta chuo kinachotoa course ya kilimo!Kutafuta chuo cha kilimo ngazi ya degree tofauti na Sua ni sawa na kutafuta meli inayotembea sehemu nyingine mbali na majini!
Ahsante mkuuUtakuwa hujaelewa vizuri hoja ya mtoa mada! Yeye kwenye maelezo yake amesema anatafuta chuo kinachotoa course ya kilimo!
Kwa mantiki hiyo vyuo vinavyotoa course za kilimo tofauti na SUA vipo ikiwamo UD, arusha tech, Open university etc
Mr, kumbuka kuna coz ambazo anasoma mtu aliyepitia comb. Za sayansi advance,nyingine haziangalii hayo,so unaposema coz yoyote unaendelea kutuchanganyaProgram yoyote ile inayo husiana na kilimo,
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
OK,mimi Nina diploma ya animal health and production,na nilipitia advance pia na nilipata division 3 ya 17 kwa comb ya CBG,Mr, kumbuka kuna coz ambazo anasoma mtu aliyepitia comb. Za sayansi advance,nyingine haziangalii hayo,so unaposema coz yoyote unaendelea kutuchanganya
Wa uliyiyasoma omba mungu sana upate nafasi SUA coz pale UD coz zilizopo niOK,mimi Nina diploma ya animal health and production,na nilipitia advance pia na nilipata division 3 ya 17 kwa comb ya CBG,
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Pouwa mkuu,we upo apo nn?K
Wa uliyiyasoma omba mungu sana upate nafasi SUA coz pale UD coz zilizopo ni
Agricultural mechanization
Agricultural and natural resources economics and business
Nyingine ni
Bee keeping na
Aquatic science .ambazo kwako zinaweza zisiwe bora sana
Kama umezipenda pia nakukaribisha
Canre pataaamu saaan mkuuNenda Uyole-Mbeya, Ilonga-Kilosa na hapa Dar kuna CANRE kipo fresh mkuu
St john universty dodoma wanatoa degreevya kilimo na mifugoUtakuwa hujaelewa vizuri hoja ya mtoa mada! Yeye kwenye maelezo yake amesema anatafuta chuo kinachotoa course ya kilimo!
Kwa mantiki hiyo vyuo vinavyotoa course za kilimo tofauti na SUA vipo ikiwamo UD, arusha tech, Open university etc
Yes mrPouwa mkuu,we upo apo nn?
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Upo sua mkuu??Yes mr