integral sign
Senior Member
- Jul 13, 2013
- 160
- 13
Vifuatavyo mi muhimu sana.
1. Maji yakiwa ya dawasco itakuwa poa zaidi
2. Umeme
3. Masharti magumu yasiwepo kwani utalipwa pesa yako yote tutakayokubaliana.
4. Kisiwe mbali na main road hasa morogoro road.
5. Kisiwe bondeni hasa ktk maeneo ambayo yamezuiwa na City(yanafahamika).
6. Sehemu iwe na utulivu kiasi yaani isiwe karibu na bar,kumbi za starehe.
Asanteni, nipeni ofa zenu.