Natafuta chumba cha kupanga Morogoro

Natafuta chumba cha kupanga Morogoro

hhhha wakat nahamia nilikua anshangaa wanavyosema jah! bas sasa hv nshazoea! jah!
hata mimi nilipambana nacho nisikizoee, lakin nkajikuta ghafla nakigonga! Jah! Kidogo Mwe! Sikuwa na ujanja!
 
Duh misufini wanapiga roba balaa!
we misufini hiyo unayozungumzia ni ipi haswaa? Hakuna roba misufini,nasikia kuna kipindi wakati zimeanzishwa hostel za sua kuna wimbi la wizi liliibuka baada ya muda likapotea,misufini ni amani toka kitambo tuu
 
hahahha kwa ubora wako mamy!una guts sana za kukaa samaki samaki! mie napaona pakiwindaji eti??au ushamba! binafs ht ningekuwa alone pale pagumu jaman!mie jiwe langu black n whte au moro hotel basi! tena kwa nadra sanaaa!
Na wewe no member wa Black and white ,ntakua nakujua wasalimie akina Dunno na Msuya
 
Mie nimetafutiwa na Dalali Nimelipia last few days, Sh Elf 50, Chumba Kimoja Self. Mitaa ya Modeko. Geti lipo na Maji Yapo. So Kama Upo Tayri Kutafutiwa na Utalipia Costs za Dalali Sema Nimwambie Jamaa akustulie madalali. Mie Bado Nipo Dsm Naplan Kwenda Moro Ijumaa au Jmos Mungu Akijalia.
mkuu mm natafuta naomba namba za dalali..maeneo ni kihonda, kilakala au forest.
 
sehem nyingi wanazokutajia ziko poa! zingatia iki ninachokwambia! maeneo aya ninayokutajia usikubali kuishi hata kwa panga! Chamwino, manzese, mafisa, msamvu, mji mpya kuna baadhi ya sehem kama jijga, mawenzi kuna sehem wanaiita chaka bovu uko kote nikipokutajia usikae! waambie wakutafutie misufin, kiwanja cha ndege, mafiga , kihonda, forest, bong'ola, liti, modeko, mazimbu uko unaweza ukaishi bila hata usumbufu wowote! kama kuna mtu ana pingamizi juu ya sehem nikizokutajia bas haijui moro! kilakala, kola hill kote uko kuzur
 
Hahaa...umenikumbusha chaka bovu kuna ukoo ule wa kina Ndanje (R.I.P) aliukuwa jambazi aliuliwa, bila kuwasahau kina abuu kapalila, simba zeee, Godzila etc..huo mtaa giza likiingia hapafai hata kusogelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom