Natafuta chumba cha kupanga Morogoro

Natafuta chumba cha kupanga Morogoro

Nipeni bas leo kiwanja kingine nkatembee usiku maana jana nlikua SAMAK SAMAKI pamekaa kimawindo sana cjapapenda
Viwanja vyote Morogoro vimekaa kimawindo hadi nashera Hotel

Nenda downtown au Moro club zaman 4 Star, ama nenda Kingtom,viber ,

Ukiona huko pote pako kimitego basi nenda ITIGI AMA KAHUMBA
 
Hahahaaa, we jamaa aende kaumba???
Kule ukikatiza kuanzia saa moja jioni utakabwa koo wewe mpaka ununue Malaya,niliwahi kukatiza huko bila kujua kuwa kuna madada poa,nlipofika nilizongwa na wanawake lukuki mpaka nikatoa 5000,nikawagawi tu wakaniachia!!
 
Viwanja vyote Morogoro vimekaa kimawindo hadi nashera Hotel

Nenda downtown au Moro club zaman 4 Star, ama nenda Kingtom,viber ,

Ukiona huko pote pako kimitego basi nenda ITIGI AMA KAHUMBA

sio kwel mkuu sehem kmblak n wht au moro hotel kila mtu anakula raha kwa raha zake tena blak n wht walaaa!hakuna sehem amabyo huwa sielew km kingtom!...pia usache kwenda mikumi sk ukipata nafasi!
 
Viwanja vyote Morogoro vimekaa kimawindo hadi nashera Hotel

Nenda downtown au Moro club zaman 4 Star, ama nenda Kingtom,viber ,

Ukiona huko pote pako kimitego basi nenda ITIGI AMA KAHUMBA
KAHUMBA bado ipo? nimepamiss
 
Haha haha pale ndio pako vile. Nilienda na wife akazania anawinda kuna msengerema akamshika kiuno niileta timbwili palifungwa kwa muda.

hahhaha au alivaa kimtego??kwakqweli mwanamke yyt wa moro anaejitambua hakubal katu kukaa hapo samak samak sikumbuk mwaka gan nimekaa hapo!pagumu sana kila mtu anakuhis upo sokon! km nakuona mwanaume ulvyoliamsha dudee
 
Siunajua mavazi ya mida ilee siunajua tena?

Jamaa akazania yuko mawindoni ilikuwa shida kinyama!
 
Dah haya mambo cjui ya kununua maji ndio sitak kusikia mm nataka niishi standard life bila mateso
Kwa Moro options ni kununua maji ya kunywa au kuchemsha...usipofanya hivyo tutakuzika kwa typhoid.
 
Ningekuwepo mjini usingepata shida ungekuja hata kupumzika home huku ukifanya taratibu za kutafuta nyumba,Kwa maelezo yako wewe eneo la misufini linakufaa sana,kwanza karibu sana na mjini,maji sitatizo na usalama ni mkubwa,unaweza kwenda mjini hata saa 8 za usiku tena kwa mguu. Kama nikapata namba ya dalali mmoja nitakutumia,
Duh misufini wanapiga roba balaa!
 
Viwanja vyote Morogoro vimekaa kimawindo hadi nashera Hotel

Nenda downtown au Moro club zaman 4 Star, ama nenda Kingtom,viber ,

Ukiona huko pote pako kimitego basi nenda ITIGI AMA KAHUMBA
Kahumba tena.....ile si ndo jehanamu kabisa!
 
ukifka moro hotel unanyosha hyohyo barabara km dk 3 hv !patamu
Pamoja na kukaa sana Moro nilikuwa sijawahi kupasikia, uzuri weekend hii imenikuta Moro imebidi usiku huu nipatembelee...!
 
Ukiboreka hapo shuka chini kidogo hapo Mo Town ruka debe mpaka asubuhi..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom