Natafuta chumba cha kupanga Morogoro

Natafuta chumba cha kupanga Morogoro

mjini kidogo hakuna gharama ya nauli ila ukikaa haya maeneo jiandae na 800-1200 ya nauli + 1000 ya bodaboda haya maeneo chamwino,kihonda,lukobe,bigwa,mazimbu,makunganya,mkundi,,,,,.... tupo hapa kukupa mwanga na maeneo mazuli ya kukaa ambayo hata kipindi cha mvua utakaa kwa amani

Ni kweli mkuu maana nackia kuna maeneo kuna titia sana wakat wa mvua huwez toka na gari lazma ukwame
 
Pamoja mkuu kwa hints kadhaa za mji wenu
ahaaa na hata ukitaka hints za viwanja vya kula bata pale unapopiga mamilion yako uko ofisi usisite kunitafuta ni watoto wakali na beer lain dahh nimekumbuka haya maeneo airportclasic na samak samak nyumbani park..
 
ahaaa mkuu mlevi tena haya ni pm namba yake tusaidie wageni..

hahahaha km unakaa mjin utamfaham anaishi boma rd asbh saa 1 amelewa hatari ila sasa cha kuchosha wenye pesa ndo dalali wao anaatumika sana na kina abood! na mapombe yake hayo hayo ana nyumba na maviwanja hatari ila ndo hajielewag!hubby akirud nitampa namba
 
Ni kweli mkuu maana nackia kuna maeneo kuna titia sana wakat wa mvua huwez toka na gari lazma ukwame
yah ndo ukweli dalali atakupiga kwa tamaa ya ela tu lakin hapa jf naongea ukweli shida haina mwenyew leo kwako kesho kwangu.....
 
ahaaa na hata ukitaka hints za viwanja vya kula bata pale unapopiga mamilion yako uko ofisi usisite kunitafuta ni watoto wakali na beer lain dahh nimekumbuka haya maeneo airportclasic na samak samak nyumbani park..

hahahha kwa ubora wako mamy!una guts sana za kukaa samaki samaki! mie napaona pakiwindaji eti??au ushamba! binafs ht ningekuwa alone pale pagumu jaman!mie jiwe langu black n whte au moro hotel basi! tena kwa nadra sanaaa!
 
hahahaha km unakaa mjin utamfaham anaishi boma rd asbh saa 1 amelewa hatari ila sasa cha kuchosha wenye pesa ndo dalali wao anaatumika sana na kina abood! na mapombe yake hayo hayo ana nyumba na maviwanja hatari ila ndo hajielewag!hubby akirud nitampa namba
makubwa hayo huyu kijana mwenzetu tumsaidie huyu dalali mhhhh
 
hahahha kwa ubora wako mamy!una guts sana za kukaa samaki samaki! mie napaona pakiwindaji eti??au ushamba! binafs ht ningekuwa alone pale pagumu jaman!mie jiwe langu black n whte au moro hotel basi! tena kwa nadra sanaaa!
kwa sababu unakaa forest na hv ni viwanja vya kihonda inakuwa tabu kufika kweli pale pana malaya wengii sana
 
hahahha kwa ubora wako mamy!una guts sana za kukaa samaki samaki! mie napaona pakiwindaji eti??au ushamba! binafs ht ningekuwa alone pale pagumu jaman!mie jiwe langu black n whte au moro hotel basi! tena kwa nadra sanaaa!
yah bata tamu wew ata savoy kwa wazee na uko nashera sometime kuogelea ahaa
 
hahahaha km unakaa mjin utamfaham anaishi boma rd asbh saa 1 amelewa hatari ila sasa cha kuchosha wenye pesa ndo dalali wao anaatumika sana na kina abood! na mapombe yake hayo hayo ana nyumba na maviwanja hatari ila ndo hajielewag!hubby akirud nitampa namba

Yea make sure unanipa namba bas maana ck znaenda kasi
 
Ningekuwepo mjini usingepata shida ungekuja hata kupumzika home huku ukifanya taratibu za kutafuta nyumba,Kwa maelezo yako wewe eneo la misufini linakufaa sana,kwanza karibu sana na mjini,maji sitatizo na usalama ni mkubwa,unaweza kwenda mjini hata saa 8 za usiku tena kwa mguu. Kama nikapata namba ya dalali mmoja nitakutumia,
 
hahahaha km unakaa mjin utamfaham anaishi boma rd asbh saa 1 amelewa hatari ila sasa cha kuchosha wenye pesa ndo dalali wao anaatumika sana na kina abood! na mapombe yake hayo hayo ana nyumba na maviwanja hatari ila ndo hajielewag!hubby akirud nitampa namba

Huyo jamaa hawez nipeleka baa tukapiga ulabu mpaka hela ya pango??? ( jocking)
 
Ningekuwepo mjini usingepata shida ungekuja hata kupumzika home huku ukifanya taratibu za kutafuta nyumba,Kwa maelezo yako wewe eneo la misufini linakufaa sana,kwanza karibu sana na mjini,maji sitatizo na usalama ni mkubwa,unaweza kwenda mjini hata saa 8 za usiku tena kwa mguu. Kama nikapata namba ya dalali mmoja nitakutumia,

Thanks sana mkuu ,, nimegundua watu wa moro mnaonesha ushirikiano sana
 
mideko sio uswaz ww acha ujingabwako na forest uko unapopasema huwez kupata nyumba ya 150 ww kwa mwez
 
mhhh modeko??sikufaham lakin nahis ni uswaz mby
Ukipata Self Modeko, nenda kaishi huko. Nilipapenda kwa kuwa hakuna shida ya Maji na umeme. Niliishi miaka 2 bila shida.
But, usipelekwe Chamwino, Mafiga na uswahilini. Utajuta.
Forest kwa bajeti yako hiyo hupawezi. Tafuta dalali akusaidie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom