Natafuta chumba cha kupanga Morogoro

Natafuta chumba cha kupanga Morogoro

Mie nimetafutiwa na Dalali Nimelipia last few days, Sh Elf 50, Chumba Kimoja Self. Mitaa ya Modeko. Geti lipo na Maji Yapo. So Kama Upo Tayri Kutafutiwa na Utalipia Costs za Dalali Sema Nimwambie Jamaa akustulie madalali. Mie Bado Nipo Dsm Naplan Kwenda Moro Ijumaa au Jmos Mungu Akijalia.

Itakua poa sana mkuu ukiniunganisha na dalali by jpili niwe nimepata room ,, naomba uni Pm namba ya dalali aliekutafutia wew
 
Hapana. Modeko kuna maeneo yametulia sana. Mfano upande wa airport na upande ule wa kanisani umetulia. Sehem za kuchangamka hazikosekani hata forest

Kabisa, Mie First Time nafika Moro nimeishi Maeneo ya Mafiga Karibu na Sabasaba, Modeko kwa Juu ni Pazuri tu sio sawa na Chamwino.
 
Nipeni codes jaman sitaki kuanza kukaa hotel nikifika nataka kupunguza gharama regarding na economic situation ya sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom