MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,082
Hiyo Black n White ipo mitaa gani?
ukifka moro hotel unanyosha hyohyo barabara km dk 3 hv !patamu
Hiyo Black n White ipo mitaa gani?
shida ya maji sijuh itaisha lini...
Kwa Moro yetu? Sidhani!shida ya maji sijuh itaisha lini...
ahaa bado yana tiririka mna raha sana..alafu me nachoshangaa huku miliman kwetu full chemchem
maji ni janga kipindupindu nacho..Kwa Moro yetu? Sidhani!
ahaa bado yana tiririka mna raha sana..
ahaaa forest yote na viunga vyake mpaka kwa RC ni kama upo uzunguni kias fulani sasa shida ya maji itokee wap..hukuhatuanga shida hyo! sijui abood anajua khona kuna shida ya maj??
Mimi wa Forest tutafutane ili siku mojamoja tuibuke downtown clubHeheee kumbe na wewe wa Moro. Mie Kihonda maghorofani.
Mkuu waruguru tupo wengi humuKumbe wa kutoka Moro tupo wengi
Safi sanaMkuu waruguru tupo wengi humu
A. K. A wandewa
Ja!Mimi wa Forest tutafutane ili siku mojamoja tuibuke downtown club

Kina Banzi na Bunga!Mkuu waruguru tupo wengi humu
A. K. A wandewa

Kina bwakilAKina Banzi na Bunga!![]()
Hii ndiyo tunaita Jamiiforums.com, hongera mkuu kwa kupata makazi.Hatimaye nimepata apartment morogoro na kwa sasa npi samaki samaki .. aliye karibu anakaribishwa
Hukufahamu then unaconclude Uswazi aiseeemhhh modeko??sikufaham lakin nahis ni uswaz mby
TrueHapana. Modeko kuna maeneo yametulia sana. Mfano upande wa airport na upande ule wa kanisani umetulia. Sehem za kuchangamka hazikosekani hata forest
Misufini unaenda Town Saa nane unapitaje Manzese?Ningekuwepo mjini usingepata shida ungekuja hata kupumzika home huku ukifanya taratibu za kutafuta nyumba,Kwa maelezo yako wewe eneo la misufini linakufaa sana,kwanza karibu sana na mjini,maji sitatizo na usalama ni mkubwa,unaweza kwenda mjini hata saa 8 za usiku tena kwa mguu. Kama nikapata namba ya dalali mmoja nitakutumia,
Modeko to Town daladala 400tsh bodaboda 1000Thanks mkuu huko modeko ndio pawe kipaumbele kwani ni mbali na mjini ??
Hii ndiyo tunaita Jamiiforums.com, hongera mkuu kwa kupata makazi.
-----
Mkuu hii update ipandishe juu kwenye post ya kwanza ya uzi huu. Maana yawezekana wakuu wengine wakawa wanaendelea kukutafutia chumba kumbe wewe umeisha pata.