Ngoda95
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 2,690
- 4,919
Silikuwepo kikazi but nilifikia near by makazi ya RPCdaah mitaa ile enzi za ujana tulikuwa tunapandisha vilima vile mazoezini. Moro imekuwa aisee,,ulikaa mitaa gani mkuu?
Silikuwepo kikazi but nilifikia near by makazi ya RPCdaah mitaa ile enzi za ujana tulikuwa tunapandisha vilima vile mazoezini. Moro imekuwa aisee,,ulikaa mitaa gani mkuu?
Pamoja mkuu,Rpc bila shaka yupo karibu na samaki samaki,naona ulikuwa unaenda kwa miguu tu paleSilikuwepo kikazi but nilifikia near by makazi ya RPC
Kweli unakaa moro halafu hujui mazingira ya sehemu maarufu kama modeco yakoje?mhhh modeko??sikufaham lakin nahis ni uswaz mby
Dilekeni goloko kwa mkagulu auNingekuwepo mjini usingepata shida ungekuja hata kupumzika home huku ukifanya taratibu za kutafuta nyumba,Kwa maelezo yako wewe eneo la misufini linakufaa sana,kwanza karibu sana na mjini,maji sitatizo na usalama ni mkubwa,unaweza kwenda mjini hata saa 8 za usiku tena kwa mguu. Kama nikapata namba ya dalali mmoja nitakutumia,
Nimemwambia ni nyumba nzima ofcourseJamani 200k morogoro si ni nyumba nzima unapata
Kweli unakaa moro halafu hujui mazingira ya sehemu maarufu kama modeco yakoje?
unamwambia mwenzio modeco ni uswazi? daah sio poa!
au kwa kuwa unakaa kwa mkuu wa mkoa! jaribu kuzunguka uujue mji wako dada angu using,ang,anie kukaa kwenye miti tu huko milimani japo ni ushuani, ona sasa hadi modeco hujui ilipo na ikoje!
nguzo primary unafika?
Hiyo mbona ni kawaida,unaendaje sehemu kama hakuna unachofuata,i had a school mate,primary olympio,sec al muntazir, high school makongo, kazaliwa daslam,kakulia daslam,lakini ubungo alikuwa hakujui, Huyo mwingine k'koo ktk ya mji,lakini sinza hakujuibahat mby sana me spend kuzurura hata mazmbu nmefka last yr! wala sion ajab!ndo nilivyo! samahan kukukwaza
Hiyo mbona ni kawaida,unaendaje sehemu kama hakuna unachofuata,i had a school mate,primary olympio,sec al muntazir, high school makongo, kazaliwa daslam,kakulia daslam,lakini ubungo alikuwa hakujui, Huyo mwingine k'koo ktk ya mji,lakini sinza hakujui
Huwezi zurula zurula tu aimless...basi m pia nipo hvyo sipend ktembembeaa tembea bila sabab
Mkuu ukifika Moro njoo nikuuzie Fridge yangu mpya,aina ya boss,mimi naenda shule nimeamua kuuza vitu vyangu vinavyotumia umeme!!Nasafiri na begi la nguo tu vitu vyote nitanunulia hapo hapo
Kwani wewe ni mzungu?Mmmh uswazi tenamimi sitaki ishi uswazi aisee
Njoo pm tuongee,au nitumie namba yako ya WhatsApp!!Shngap mkuu
Sense na madumu ya kuwekea maji.lukobe na manyuki na kwa bwana jela uweke na akiba ya kununua maji kila uchwao leo...
Mkuu nakusubiri PmHatimaye nimepata apartment morogoro na kwa sasa npi samaki samaki .. aliye karibu anakaribishwa
Hiyo Black n White ipo mitaa gani?'wanauza' yap blak pako poa!me ndo napaelewaga! mor hotel vitoto vng kwel vya kihindi15-27yrs arghhh
shida ya maji sijuh itaisha lini...Sense na madumu ya kuwekea maji.