Natafuta cheap massage parlow

Natafuta cheap massage parlow

Waxing...wanawafanyia na wanaume pia?...Nipe contact zao nipite mda huu..make nipo mjini.
Ni saloon ya kike mkuu... ila mwanaume jmn unataka waxing!! Nunua mashine ya ndevu uwe unatumia na huko chini loooh
 
Dah..... massage ndiyo kitu gani wakuu?

Sent from my Osborne II using JamiiForums Mobile App
 
Kuna place upanga saloon ya muhindi flani ivii.. very cheap and affordable ata waxing wanafanya cheap mno. Nilivyo mbovu wa kutoa direction naweza nikakupm namba za mdada wa hapo saloon kama utakua interested
Naomba uni pm na mimi kama hutojali tfadhali
 
Massage unataka kufanywa na dume au dem?

Ova
 
Umejaliwa curves akataye kufanyia massage ata enjoy sana

Ova
 
Dah,
Yaani mungu huyu wa ajabu aisee, ashukuriwe sana.
Manake nami pia nlikua natafuta the same thing, na vifaa ninavyo pia ni mtaalamu,
Sasa Mimi nitakufanyia hiyo massage, malipo yake ni wewe pia kunifanyia mimi manake nami nahitaji pia,
Nami pia sintokulipa kwani malipo yake ni mimi kukufanyia wewe pia,
Cha msingi tukubaliane tu wapi tutafanyiana hiyo kitu,
Hahahahah wazee wa kucheza na fursa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom