Natafuta buti hii

Natafuta buti hii

evocom

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Posts
269
Reaction score
250
Habari za mchana wa JF. Mwenye kujua sehem ya kupata aina ya buti hii,kwa Arusha na Dar naomba nijuzwe na ina bei gani.
Screenshot_20181015-130251.jpg
 
Kuna jamaa nilikutana nae anauza kwa bei ya 250000
Nimejaribu tu kukupa mwanga kuusu bei ila jamaa ni machnga alikuwa anatembeza nilikutana nae maeneo ya karatu nikajaribu tu kuulizia bei ilikuwa ni last month
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom