Natafuta boyfriend

smartphone

Member
Jun 16, 2012
20
15
Kwa jinsia mi ni dada wa miaka 27 ,natafuta boyfriend. Atakaye nipenda kwa dhati hatimaye tuje kuwa mke na mume,awe ameajiriwa,asiwe na mtoto wala aliyewahi kuoa,awe na hofu na mungu,mkarimu,mrefu,asiwe mweusi sana na la muhimu awe mkristo,
Atakaye meet vigezo ani pm.asante.
 
Umepata...hebu nitwangie 1-800-YES-YEGO ili tuyamalize!.
 
Kwa jinsia mi ni dada wa miaka 27 ,natafuta boyfriend. Atakaye nipenda kwa dhati hatimaye tuje kuwa mke na mume,awe ameajiriwa,asiwe na mtoto wala aliyewahi kuoa,awe na hofu na mungu,mkarimu,mrefu,asiwe mweusi sana na la muhimu awe mkristo,
Atakaye meet vigezo ani pm.asante.

hofu ya mungu ninayo,,,,ila si mkristu,,,,,,,ntabadili tukiwa kwenye uhusiano
 
Mi nina kila kitu ulichokihitaji hapo kasoro kazi! Ila hela ninazo, unasemaje? Kwani unataka kazi au hela? Nipm kama unahitajitafuna mipesa yangu
 
wewe dada, umetaka vyote, lakini si kujua kama huyo boyfriend ana ngoma au la! Ebu funguka zaidi.
 
Kwa jinsia mi ni dada wa miaka 27 ,natafuta boyfriend. Atakaye nipenda kwa dhati hatimaye tuje kuwa mke na mume,awe ameajiriwa,asiwe na mtoto wala aliyewahi kuoa,awe na hofu na mungu,mkarimu,mrefu,asiwe mweusi sana na la muhimu awe mkristo,
Atakaye meet vigezo ani pm.asante.

kazi imeninyima mrembo. Waacha nirudi kwe jukwaa la kazi na tenda nicheki kwanza mchakato.nikipata nitakuPM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom