Natafuta boyfriend

Pole sana sifa zote ninazo lakini moyo upo kwa preta tu
Sorry for that
Take care honey
 
Kwa jinsia mi ni dada wa miaka 27 ,natafuta boyfriend. Atakaye nipenda kwa dhati hatimaye tuje kuwa mke na mume,awe ameajiriwa,asiwe na mtoto wala aliyewahi kuoa,awe na hofu na mungu,mkarimu,mrefu,asiwe mweusi sana na la muhimu awe mkristo,
Atakaye meet vigezo ani pm.asante.

Hofu ya Mungu tu ndio inanifanya nisiku-PM. Nitaku-A.M anyway
 
,awe ameajiriwa,asiwe na mtoto wala aliyewahi kuoa,awe na hofu na mungu,mkarimu,mrefu,asiwe mweusi sana na la muhimu awe mkristo,
Atakaye meet vigezo ani pm.asante.

Nina sifa mbili tu za ukarimu Na urefu,
Nyingine zote HOLA!!!!
 
mi pia nina vigezo extra. . .natumia i phone 4s. . .sema huo umri dada angu basi ndo ushanikosa tena. . .
 
ni pm mimi ninavigezo vyote peesa ninazoo utakula bata hadi bas,mshahara wako utakuwa wakununua vipodozi tu ni pm binti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom