Natafuta boyfriend

Mimi iko penda wewe nimeshaku PM nijibu basi.......nna vigezo vyote na zaidi....
 
Kwa jinsia mi ni dada wa miaka 27 ,natafuta boyfriend. Atakaye nipenda kwa dhati hatimaye tuje kuwa mke na mume,awe ameajiriwa,asiwe na mtoto wala aliyewahi kuoa,awe na hofu na mungu,mkarimu,mrefu,asiwe mweusi sana na la muhimu awe mkristo,
Atakaye meet vigezo ani pm.asante.

Wewe achakutuzuga huko kote ulikopita haujapata boyfriend kweli?Kama kweli ujapata unamatatizooooooo.....
 
Kwa jinsia mi ni dada wa miaka 27 ,natafuta boyfriend. Atakaye nipenda kwa dhati hatimaye tuje kuwa mke na mume,awe ameajiriwa,asiwe na mtoto wala aliyewahi kuoa,awe na hofu na mungu,mkarimu,mrefu,asiwe mweusi sana na la muhimu awe mkristo,
Atakaye meet vigezo ani pm.asante.
Kama unavyoniona hapo kwenye picha, umri wangu ni miaka 35 na kazi yangu ni mieleka. Je utanifikiria? Usiogope kifua changu kipana, "viungo nyeti" vyote vina saizi ya kawaida.
 
Dada na Ishu ya kupima je? mbona hujaizungumzia?
wewe una ajira?
unakaa sehemu gani?
 
kama hujafikia kigezo usimbeze mtu,kila mtu anamalengo yake,huwezi kujua alijiwekea nadhiri gani, acha kuishi kwa mazoea
si unajua kule kwenye dini wanaruhusiwa kuchumbia mtoto wa miaka sita na kuoa akiwa na miaka tisa.
 
Mbona umekuwa mbinafsi dada? mm mwenyewe natafuta, vigezo ulivyotaja nainavyo vyote wasiwasi wangu mbona vigezo ulivyonavyo hukutuambia ili nasi tuku-verify?
 
wanaume wapo wenye vigezo tena vinaweza kuzidi na vikawa bonus, ila na wewe upload picha yako sio wanaume wote wanaweza kuvutiwa tu na thread yako
 
usije kuta wewe mwenyewe kabaaaya af unataka ma handsome,maji ya kunde....nyoooooo...weka na weee ulivyo....
Hebu mpashe huyo mdada mkuu wangu, eti anataka mahandsome tu, nani wa kuuziwa mbuzi kwenye gunia siku hizi??????????????/
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom