- Thread starter
- #81
mi kwetu kihurio
kihurio ndio wapi, sijawahi kupasikia
mi kwetu kihurio
Mmm jamani! Mgongo tena! Au kuna mtu unamtafuta?!
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
mbona hukutaja mahanjamu. vyote anaweza kuwa navyo ila akawa bwabwa tu , mimi zote sifa sina ila nina mahanjamu ya hatari vipi sifaiNatafuta Boyfriend, ambaye yuko single now,mrefu kiasi, mweupe, mweusi au maji ya kunde, Mkristo, Catholic, Lutheran au Sabato, awe ana umri wa miaka 28 hadi 45, kutoka mikoa ya kaskazini or mikoa ya kati ya Tanzania, nje ya tanzania or nje ya Afrika, mcheshi,mchangamfu, mchapakazi, mwenye mtazamo chanya kuhusu maisha, elimu ya Chuo, mwenye heshima kwa watu, anayeheshimu Wanawake, asiwe mgomvi, asiwe muongo kupitiliza, nasema kupitiliza cause naamini kuna baadhi ya vitu anaweza kunidanganya kidogo sometimes ili niwe cool, asiwe mnywaji wa pombe kupita kiasi, I mean mlevi, asiwe anavuta sigara, awe serious kwenye uhusiano, asiwe msikiliza maneno ya watu sana, watu wachonganishi wa mahusiano ya watu, cause Mi sina tabia hiyo na siipendi, umri wangu ni miaka 27, natokea Kilimanjaro.
I hope nitampata hapa Jf, Good day!
Just niPM.
Jembe lambe langu nakuaminia kumbe ulikuwa man gate ukisubiria wanaokuja na mabegi chuo uwaonyeshe msalaani!!Haya kila la kheri bi mkubwa nakumbuka muda si mrefu nimekukaribisha jamvini kule getini...kumbe ujio wako ni kwa jambo jema!!!
kihurio ndio wapi, sijawahi kupasikia
Huwezi jua labda na yeye anahitaji kuomba (kupiga sala kabla ya kufanya tendo la kula papuchi kama wanandoa wengine wanavyofanya humu jamvini.sasa dini inahusiana nini na uzinzi wako??? wewe shida yako si kuzini yaani upate boyfriend ili mzini right,, ingekuwa mchumba sawa dini muhimu lakini zinaa aka uzinzi dini hapo kigezo umechemka dada angu
Anakotoka Kilango, Same mashariki.
mmmhhh wewe ni mwanamke kweli?? mbona maelezo yako yanatia shakaNatafuta Boyfriend, ambaye yuko single now,mrefu kiasi, mweupe, mweusi au maji ya kunde, Mkristo, Catholic, Lutheran au Sabato, awe ana umri wa miaka 28 hadi 45, kutoka mikoa ya kaskazini or mikoa ya kati ya Tanzania, nje ya tanzania or nje ya Afrika, mcheshi,mchangamfu, mchapakazi, mwenye mtazamo chanya kuhusu maisha, elimu ya Chuo, mwenye heshima kwa watu, anayeheshimu Wanawake, asiwe mgomvi, asiwe muongo kupitiliza, nasema kupitiliza cause naamini kuna baadhi ya vitu anaweza kunidanganya kidogo sometimes ili niwe cool, asiwe mnywaji wa pombe kupita kiasi, I mean mlevi, asiwe anavuta sigara, awe serious kwenye uhusiano, asiwe msikiliza maneno ya watu sana, watu wachonganishi wa mahusiano ya watu, cause Mi sina tabia hiyo na siipendi, umri wangu ni miaka 27, natokea Kilimanjaro.
I hope nitampata hapa Jf, Good day!
Just niPM.
mmmhhh wewe ni mwanamke kweli?? mbona maelezo yako yanatia shaka
Natafuta Boyfriend
Am here find me 0769928533