Natafuta Boyfriend, ambaye yuko single now,mrefu kiasi, mweupe, mweusi au maji ya kunde, Mkristo, Catholic, Lutheran au Sabato, awe ana umri wa miaka 28 hadi 45, kutoka mikoa ya kaskazini or mikoa ya kati ya Tanzania, nje ya tanzania or nje ya Afrika, mcheshi,mchangamfu, mchapakazi, mwenye mtazamo chanya kuhusu maisha, elimu ya Chuo, mwenye heshima kwa watu, anayeheshimu Wanawake, asiwe mgomvi, asiwe muongo kupitiliza, nasema kupitiliza cause naamini kuna baadhi ya vitu anaweza kunidanganya kidogo sometimes ili niwe cool, asiwe mnywaji wa pombe kupita kiasi, I mean mlevi, asiwe anavuta sigara, awe serious kwenye uhusiano, asiwe msikiliza maneno ya watu sana, watu wachonganishi wa mahusiano ya watu, cause Mi sina tabia hiyo na siipendi, umri wangu ni miaka 27, natokea Kilimanjaro.
I hope nitampata hapa Jf, Good day!
Just niPM.[Basi we nouma eti diploma na kuendelea mbna we hujaweka sifa zako? labda ungeweka zako ili tujikoze hapa]